Watu Wengi Wanahangaika Kutafuta Kazi, Miradi, Usaidizi Kwenye Jambo fulani au Nafasi za Fursa Mbalimbali Kulingana na Vigezo Walivyonavyo Lakini Hawafanikiwi!
.Sio Kwa Sababu Hawana Ujuzi…Hawana Uwezo wa Vitu au Sio Kwa Sababu Hawawezi Kuaminika na Watu Wengine HAPANA!
Wana Kosa Kitu Kimoja Tu Uenda Kwenye Ilo Fumbo Linalo watatiza Ambacho Ni Kutokuwa na Mtandao wa Watu (CONNECTION & NETWORK)
.
Bofya Hapa Kujifunza Zaidi:
.
Jifunze Kujenga Mtandao wa Watu Vitu Vingine Havifikiki Bila Kuwa na Watu Ambao Ni Sahihi..
Ujuzi wako Unaweza Kukupa Nafasi, Elimu Yako Inaweza Kuwa Funguo Lakini Kuna Muda Kama Hamna Mtu/Watu Anayekuona na Kujua Ulichonacho Ni Ngumu Kusogea Mbele!
.
So Ndani ya Makala (Link Nimekuwekea Chini Hapo) Nimeeleza Njia Tatu za Kujenga Network na Connection za Faida Kwako Njia Nilizoeleza Hapo Ndani Zinafanya Kazi Kwa Watu Wote Pitia na Ujaribu Leo.

Tags:
Makala ya kiswahili